Sisi ni nani na Nini Tunafanya

Ilianzishwa mwaka 2022, Kasinon.co.tz inatoa marejeleo ya  kuaminika ya kasino za Kitanzania na taarifa nyingine za kamari kwa wazawa. Timu yetu ndogo inafanya kazi kwa bidii kukupatia taarifa mpya zenye ubora wa hali ya juu. Wahariri wa tovuti hufanya maamuzi yote bila kuingiliwa na bila kutegema mtu mwingine yeyote au shirika. 

Lengo Letu

Dhamira ya mradi wetu ni nyepesi na ni kuwapatia wachezaji kutoka Tanzania taarifa za kuaminika kuhusu kasino za mtandaoni zinazofanya kazi kihalali nchini.

Kutana na Timu Yetu

Filbert Meela

Filbert MeelaFilbert Meela ni mwandiishi wa Kasinon.co.tz amekuwa akiandika zaidi katika maudhui ya uchezaji kamari tangu mwaka wa 2018. Tangu kipindi hicho, Filbert amekua akiangazia michezo ya mtandaoni, habari za kasino, ubashiri wa michezo na Habari za masoko ya kamari Tanzania.

linkedin button

Nassoro Chakujela

Nassoro ChakujelaNassoro Chakujela ni mwandiishi wa Kasinon.co.tz

linkedin button

Beti Kistaarabu

Tunachukuwa ni jukumu letu kuhakikisha usalama wako kama mshiriki. Tunaidhinisha tu kasino zilizo na leseni na rekodi ya kuheshimika ili kuwapa wasomaji wetu taarifa za kuaminika. Kasino ambazo hazikidhi  vigezo vyetu vya juu huondolewa mara moja kwenye orodha zetu, na tunaziangalia kila mara. Kwa kuongezea tunasisitiza kucheza kistaarabu kwenye makala zetu. Kwa maelezo zaidi, tembelea kurasa yetu ya Beti Kistaarabu.

Washirika Wetu

Kasinon.co.tz ni tovuti mshirika. Hii inaonyesha kuwa kasino inatugawia sisi sehemu ya mapato yao.

Tafadhali tambua kuwa hili halina athari kwenye faida zako. Badala yake, unaweza kupata ofa maalum kutoka kwa kasino hapa ambazo hazipatikani kupitia usajili wa moja kwa moja.

Ujumbe wetu kwa wasomaji ni moja kwa moja. Hakuna maudhui yeyote kwenye tovuti yetu yaliyo chini ya mamlaka ya watangazaji wetu.  Tunakushirikisha wewe mitazamo yetu sisi wenyewe tu.

Wasiliana Nasi

Tuandikie kupitia contact@kasinon.co.tz

Pata Bonasi za Kipekee Kila Wiki!

Tutakutumia bonasi bora zaidi za amana kila wiki!

Pata Bonasi za Kipekee Kila Wiki!

Tutakutumia bonasi bora zaidi za amana kila wiki.